HabariPilipili FmPilipili FM News

Vituo Vya Burudani Kufungwa Nyali Marwa Asema

Maafisa wa usalama wametakiwa kufunga sehemu nne za burudani maarufu klabu ambazo zinahudumu usiku eneo la Nyali hapa mombasa.

Mshirikishi wa serikali kanda ya Pwani Nelson Marwa anasema wanawake wanacheza uchi kwenye klabu hizo jambo ambalo halikubaliwi.

Amemtaka gavana joho kutathmini upya leseni za klabu hizo.

 

 

Also read:   Viongozi Wa Pwani Wa Pongezwa
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker