HabariMilele FmSwahili

Edith Nyenze kupeperusha bendera ya Wiper katika uchaguzi mdogo wa Kitui Magharibi

Edith Nyenze sasa atapeperusha bendera ya Wiper katika uchaguzi mdogo wa Kitui magharibi. Bi Nyenze alitangazwa mshindi wa mchujo wa chama hicho jana kwa kura elfu 13 382. Mpinzani wake Maluki Kitili alipata kura 2 663. Matokeo hayo yametangazwa usiku wa kuamkia leo na afisa aliyesimia mchujo huo Francis Kivindu. Uchaguzi mdogo utaandaliwa machi 26 kubaini atakayemrithi marehemu Francis Nyenze

Show More

Related Articles