BiasharaMilele FmSwahili

Gavana wa CBK atambuliwa kwa utendakazi bora katika sekta ya benki barani Afrika

Gavana wa benki kuu nchini CBK Patrick Njoroge ametambuliwa kwa utendakazi wake bora katika sekta ya benki barani Afrika. Gazeti la the banker limetambua juhudi zake Njoroge za kuboresha sekta ya benki nchini.

Show More

Related Articles