HabariPilipili FmPilipili FM News

Mda wa Wanafunzi WanaoJiunga Na Kidato Cha Kwanza Utakamilika Jumatatu Ijayo

 

Hii ni kufuatia agizo la kaimu waziri wa elimu Fred Matiang’I kutaka mda huo uongezwe ,  kutokana na idadi ndogo ya wanafunzi waliosajiliwa katika baadhi ya shule hususan katika ukanda wa pwani.

Kupitia agizo hilo Matiangi amewataka makamishna wa kaunti na  waratibu wa serikali kuu eneo hili la pwani, kushirikiana na wadau wa elimu kuona kuwa wanafunzi waliokalia mtihani wa darasa la nane mwaka jana wanasajiliwa kujiunga na shule za upili.

 

Show More

Related Articles