K24 TvNEWSSwahiliVideos

Je Gavana Sonko atajimudu kuimarisha Jiji?

Kujiuzulu kwa naibu gavana wa Nairobi Polycarp Igathe kumepokelewa na hisia mseto huku wengi wakijiuliza iwapo gavana Mike Sonko atajimudu kuendeleza kaunti hii muhimu bila naibu wake msomi..

Wakati wa kampeini za kabla ya uchaguzi mkuu wa Agosti nane, Sonko alikiri kwamba yeye atahusika na masuala ya kisiasa ya kaunti huku igathe akijishughulisha na maendeleo na usimamizi wa kaunti.

Kujiuzulu kwa Igathe kumeanika wazi mianya iliyoko kwenye katiba hususan kuhusiana na wadhifa wa naibu gavana.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker