HabariMilele FmSwahili

Matiang’i aagiza kukamatwa wanaowafurusha walimu wakuu waliohamishwa maeneo tofauti nchini

Waziri wa usalama wa kitaifa Dr.Fred Matiang’i ameagiza kukamatwa wanaowafurusha wakuu wa shule waliohamishiwa katika maeneo tofauti nchini. Matiangi anasema serikali haitakubali watu fisadi kuvuruga sekta ya elimu na badala yake watakabiliwa vilivyo. Amesisitiza serikali haitabadili msimamo wake dhidi ya uhamisho huo akisema ni uamzi ulioafikiwa baada ya mashauriano ya kina.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker