HabariMilele FmSwahili

Gavana wa Wajir apoteza kiti chake baada ya mahakama kuu kufutilia mbali ushindi wake wa Agosti nane

Gavana wa Wajir Mohamed Abdi amepoteza kiti chake baada ya mahakama kuu ya Nairobi kufutilia mbali ushindi wake mnamo Agosti nane. Jaji Alfred Mubea ametoa uamuzi huo kwa misingi kuwa Abdi hakuwasilisha cheti halisi cha digrii kumruhusu kuwania ugavana. Kesi ya kupinga kuchaguliwa kwa Abdi iliwasilishwa na mtangulizi wake Ahmed Abdullahi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker