HabariMilele FmSwahili

NTSA kushughulikia uhamasisho wa umma baada ya kuondolewa jukumu la kuwepo barabarani

Mamalaka ya usalama barabarani NTSA sasa itashughulika na uhamasisho kwa umma kuhusu sheria za trafiki baada ya kuondolewa jukumu la kuwepo barabarani. NTSA inasema hakuna afisa atakayepoteza kazi baada ya agizo la rais Uhuru Kenyatta kuwataka maafisa wa NTSA kusita kujishughulisha na shughuli za barabara.

Show More

Related Articles