HabariMilele FmSwahili

Dr Julius Kipngetich ndiye afisa mkuu wa kampuni ya bima ya Jubilee

Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa maduka ya jumla ya Uchumi Dr Julius Kipngetich sasa ndiye afisa mkuu wa kampuni ya bima ya Jubilee. Katika taarifa kampuni hiyo imedhibitisha kuwa Kipngetich ametwikwa jukumu la kuwa mshirikishi wa utendakazi wa kampuni hiyo

Show More

Related Articles