HabariMilele FmSwahili

Balozi Mahboub Maalim ndiye mwenyekiti wa kampuni ya umeme ya Kenya power

Balozi Mahboub Maalim ndiye mwenyekiti wa kampuni ya umeme Kenya Power. Balozi Maalim anachukuwa hatamu kutoka kwa spika wa zamani Kenneth Marende. Marende alipoteza wadhifa huo kufuatia uchaguzi uliofanyika Disemba mwaka jana.

Show More

Related Articles