HabariMilele FmSwahili

Kundi la kwanza la Wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza kuwasili shuleni leo

Kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza chini ya elimu bila malipo, linatarajiwa kuwasilisi katika shule mbalimbali kuanzia leo. Shule za kitaifa na zile za extra kaunti hapa Nairobi, Kisumu, Mombasa Eldoret na Nakuru zitalipisha shilingi 53, 544 kila mwaka huku shule zingine zote za malazi zikitarajiwa kulipisha shilingi 40, 435. Rais Uhuru Kenyatta awali alisema tayari serikali imetoa shilingi bilioni 29.5 kufanikisha elimu ya wanafunzi hao.

Show More

Related Articles