HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kura za ugavana kuhesabiwa upya katika kaunti ya Homabay

Shughuli ya marudio ya kuhesabu kura za ugavana katika kaunti ya Homabay imeshika kasi katika makao makuu ya kaunti hiyo mjini Homabay.
Shughuli hiyo itatekelezwa kwenye vituo 181 kati ya vituo 892 kama ilivyoagizwa na mahakama kuu ya Homabay.
Oyugi Magwanga ndiye aliyefika mahakamani kupinga kuchaguliwa kwa Gavana Cyprian Awiti akidai uchaguzi ulikumbwa na udanganyifu.

Show More

Related Articles