HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Marufuku ya miraa na muguka

Mswada kupiga marufuku matumizi ya miraa na muguka katika kaunti ya Mombasa unatarajiwa kuwasilishwa katika bunge la kaunti hiyo punde tu bunge hilo litakaporejelea vikao vyake.

Mwakilishi wadi maalum katika kaunti ya Mombasa Fatuma Swaleh anadai wanawake wengi kaunti hiyo wanalalama baada ya waume wao ambao ndio waraibu wakuu kukosa kuwatimizia haki yao wakati wa tendo la ndoa.

Show More

Related Articles