HabariPilipili FmPilipili FM News

Sarai Amtaka Jaji Lydia Kujiondoa Kenye kesi Ya Kupinga Ushindi Wa Joho

Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Mombasa Hassan Sarai amemStaka jaji Lydia Achode ajiondoe kwenye kesi yake aliyowasilisha ya kupinga ushidi wa gavana Hassan Joho.

Kwenye taarifa yake Sarai anadai kuwa Jaji Achode anaonyesha upendeleo waziwazi wakati wa kusikizwa kwa kesi hiyo.

Sarai aliwasilisha kesi hiyo kupinga ushindi wa Joho katika uchaguzi wa agosti 8 ambak yeye aliibuka wa tatu katika kinyangayiro cha ugavana.

 

 

Show More

Related Articles