HabariMilele FmSwahili

Wafanyikazi 1000 wa ujenzi wa reli ya kisasa waliogoma waachishwa kazi

Wafanyikazi  1000 wa ujenzi wa reli ya kisasa  kutoka Nairobi kuelekea Naivasha ambao wamekuwa  kwenye mgomo wameachishwa kazi. Kampuni ya uchina inayoendesha ujenzi huo imeutaja mgomo wao kama usio halali. Wafanyikazi hao wamekuwa wakilalamikia kunyanyaswa na mazingira mabaya ya kufanyia kazi miongoni mwa masuala mengine.

Show More

Related Articles