BiasharaMilele FmSwahili

Tuskys yapanga kuzindua mpango wa miaka 3 wa oparesheni zake

Duka la ujumla la Tuskys  linapanga kuzindua mpango wa miaka 3  wa oparesheni zake  utakaogharimu shilingi bilioni3. Ni mpango unaoelenga kukabili ushindani kutoka kwa maduka ya humu nchini na yale ya kimataifa. Tuskys pia inapanga  kuongeza matawi yake  kutoka 64 ya sasa hadi 100 katika muda wa miaka 3 ijayo.

Show More

Related Articles