HabariMilele FmSwahili

Uchunguzi kuhusu mauaji ya mtoto Pendo kuanza rasmi leo katika mahakama ya Kisumu

Uchunguzi kuhusu mauaji ya mtoto Pendo unaanza rasmi leo katika mahakama ya Kisumu. Aliyekuwa mkurugenzi wa mashitaka ya umma Keriako Tobiko aliagiza uchunguzi huo kufuatia madai ya polisi kuhusika katika mauaji yake. Mtoto Pendo aliuwawa mwezi Agosti mwaka jana wakati wa makabiliano ya baada ya uchaguzi mtaani Kondele mjini Kisumu.

Show More

Related Articles