People Daily

Wakaazi Wa Chaani Walalamikia Kuwepo Kwa Jaa La Taka Eneo Hilo

 

Wakaazi wa wodi ya Chaani  eneo bunge la Changamwe wamemtaka gavana wa Mombasa Hassan Joho Kuwajibika mara moja na kushughulikia tatizo la mirundiko ya taka eneo hilo ambazo zinazidi kusababisha maafa kwa wakaazi.

Wakaazi hao wamehoji kuwa jaa la taka lililoko karibu na shule ya Chaani linahitaji huduma ya kila mara.

Kwa upande wake mwakilishi wa wodi hiyo Junior Wambua amewataka wakazi hao kuhakikisha kwamba wanatupa taka kwenye sehemu husika badala ya kuzitupa kila mahali

Show More

Related Articles