HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais amezindua msafara na kuwaonya wanaotepetea kazini

Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali dhidi ya idara zinazotumia vibaya pesa za umma.
Rais aliongeza kuwa lazima mabadiliko yaanze juu hadi chini na watumishi wa umma ambao hawataki kudumisha maadili
mema  katika utendakazi wao wako huru kung’atuka.
Rais aliyasema haya alipokuwa akizindua msafara wa wa malori ya kusafirisha vitabu vya shule za msingi na upili katika Kituo cha Utafiti kuhusu Hisabati, Sayansi na Teknolojia barani Afrika kilichoko mtaani Karen hapa mjini Nairobi.

Show More

Related Articles