HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ndegwa Muhoro ameondolewa kama Mkurugenzi wa Upelelezi

Katika mabadiliko yaliofanywa na Rais katika  baraza la mawaziri, pia idara ya polisi haijasazwa, baada ya wadhifa  wa Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi na Mkuu wa Polisi Utawala, uliokuwa unashikiliwa na Samuel Arachi kuchukuliwa na Noor Gabao.
Vilevile wadhifa ulioshikiliwa na Ndegwa Muhoro kama mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai umepokezwa aliyekuwa Naibu wake George Kinoti Maingi.

Show More

Related Articles