HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tobiko,Munyes na Ukur Yattani wapendekezwa kuwa mawaziri

Kiongozi wa Mashtaka ya Umma Keriako Tobiko sasa amewasilisha barua yake ya kujiuzulu mbele ya Rais Uhuru Kenyata, tayari kuingia kwenye baraza la mawaziri.
Tobiko ni mmoja wa mawaziri watatu ambao wamependekezwa na Rais Kenyatta ambao sasa wanasubiri kupigwa msasa na bunge kabla ya kuidhinishwa na kuapishwa.
Wengine ni aliyekuwa Seneta wa Turkana John Munyes na aliyekuwa Gavana wa Marsabit Ukur Yattani.

Show More

Related Articles