HabariMilele FmSwahili

Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya St Marys Elementaita wafurushwa

Wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya St Marys Elementaita kaunti ya Nakuru wameanza kufurushwa. Kwa mujibu ya tuliozungumza nao asubuhi hii wanasema jamaa zao walijulishwa kuwachukua leo pasi na kuchelewa. Ni hatua inayojiri huku uongozi wa St Marys ukigubikwa na utata kuhusu umiliki wake hali ambayo imeathiri utoaji huduma za afya.

Show More

Related Articles