HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaendelea kuskiza kesi ya kupinga kuharamisha uuzaji na matumizi ya shisha nchini leo

Mahakama leo inaendelea kuskiza kesi iliyowasilishwa kupinga hatua ya wizara ya afya kuharamisha uuzaji na matumizi ya shisha nchini. Mwanasheria mkuu Githu Muigai anatarajiwa mahakamani leo kutoa mwangaza zaidi kuhusu sababu za marufuku hiyo. Kesi iliwasilishwa na wafanyibiashara 15 wa shisha wanaodai kutoshauriwa na wizara kabla ya kuchukuwa hatua. Kupitia wakili Emmanuel Hosea,anaamini
Show More

Related Articles