HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wauguzi waipa serikali siku 14 kutia saini mkataba wa makubaliano

Muungano wa wauguzi kupitia Katibu Mkuu Seth Panyako hii leo umezipa kaunti 13 ambazo hazijawalipa wauguzi malimbikizi ya mishahara ya miezi mitano hadi jioni ya leo laa sivyo kuanzia tarehe 11 mwezi huu wauguzi wataripoti katika afisi za magavana wao kudai mishahara yao.
Panyako pia ameipa serikali siku 14 kutia sahihi mkataba wao la sivyo warejelee mgomo.

Show More

Related Articles