HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

 Benki ya Equity yafadhili zaidi ya watahiniwa 1,000 wa KCPE

Zaidi ya wanafunzi 1000 sasa watapata fursa ya kuendelea  na masomo yao ya shule ya upili kupitia mradi wa Wings to Fly wenye kufadhiliwa na benki ya Equity.
Kulingana na mkurugenzi mkuu wa benki hiyo Daktari James Mwangi hatua hii itawawezesha kuendeleza ndoto ya masomo yao na kujiinua kimaisha .

Show More

Related Articles