HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wamiliki wa mabasi walalamikia hasara wanayokadiria kwa sasa

Wasafiri kutoka sehemu mbali mbali za nchi bado wanaendelea kukabiliwa na changamoto za usafiri siku tano tangu mamlaka ya usafiri na usalama barabarani NTSA kupiga marufuku usafiri wa usiku wa magari ya umma.

Haya yanawadia huku muungano wa wamiliki wa matatu nchini, ukisema kuwa marufuku hiyo ilitolewa kwa nia fiche iliyowasababishia hasara kubwa .

Show More

Related Articles