HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mjadala wa kitaifa: Tofauti zazidi kuhusu ajenda inayofaa kuangaziwa

Usemi wa kinara mwenza wa muungano wa NASA Kalonzo Musyoka kwamba ni sharti upande wa Jubilee ukubali kufika kwenye meza ya mazungumzo la sivyo uapisho wa Raila Odinga utaendelezwa huenda ndio mchakato ambao utaremba mwanzo wa siasa nchini mwaka huu wa 2018.

Spika wa bunge la Senate Ken Lusaka pamoja na kiongozi wa waliowengi kwenye bunge la Senate Kipchumba Murkomen wakisisitiza kuwa mazungumzo yanafaa kuandaliwa kwa misingi ya masuala ambayo yatasaidia kuimarisha maisha ya wakenya na uchumi wa taifa hili wala sio siasa potovu.

Show More

Related Articles