HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Viongozi wa NASA kufufua mikakati yao kuanzia Jumapili hii

Viongozi wa muungano wa NASA wakiongozwa na kinara wao Raila Odinga wanatarajiwa kufanya mkutano wa kisiasa katika kaunti ya Kakamega siku ya jumapili, kuendeleza shinikizo la kuundwa kwa mabunge ya wananchi.

Kulingana na mkurugenzi mkuu wa ODM Oduor Ong’wen, viongozi hawa wa NASA watatoa mwelekeo siku hiyo ya jinsi hafla ya kuapishwa kwa Raila Odinga inavyopangwa.

Siku na wakati wa kumuapisha Odinga kama Rais wa wananchi imesalia siri kali kwenye kuta za NASA.

Show More

Related Articles