HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Changamoto zinazokabili shule husika za bweni kuanzia Jumanne

Kufuatia agizo la Wizara ya Elimu kwa shule kadha za bweni hapa jijini Nairobi kufungua milango yake kwa wanafunzi wa kitengo cha kutwa, wakuu wa shule tayari wameanza kupokea maombi ya nafasi katika kidato cha kwanza huku wakijitayarisha kwa changamoto kadha.

Shule ya upili ya Buruburu, Ofafa Jericho, Nembu, Lenana, Starehe Boys na nyinginezo ni baadhi tu ya shule ambazo wazazi wameanza kumiminika wakitafuta nafasi kwa wanafunzi wa kutwa huku baadhi ya wakuu wa shule hizo wakilalamikia upungufu wa walimu pamoja na changamoto nyingine kuhusiana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaotarajiwa.

Show More

Related Articles