HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Matiang’i aapa uhamisho wa walimu wakuu utaendelea

Waziri wa Elimu Daktari Fred Matiangi ametetea uhamisho wa waalimu wakuu kutoka shule za maeneo wanamoishi hadi shule za mbali huku akiwataka wanaolalama kusitisha lalama zao kwani ni mojawapo ya njia za kukuza utangamano.
Matiangi amesema kuwa kila mwalimu mkuu na waalimu wengine wamepata ujuzi wa kufunza eneo lolote nchini.
Vile vile Waziri Matiangi ameshikilia kuwa mfumo mpya wa elimu lazima uendelezwe na kutekelezwa ilivyoratibiwa.

Show More

Related Articles