HabariMilele FmSwahili

Wizara ya elimu yapongezwa kwa kusambaza vitabu kwenye shule za upili Kakamega

Wizara ya elimu imepongezwa kwa kusambaza vitabu kwa shule za upili kaunti ya Kakamega. Afisa mkuu wa elimu kaunti ya Kakamega Fred Kiiru anasema tayari shule zote za upili zimepokea vitabu kutoka kwa wizara ya elimu. Hata hivyo amelalamikia hatua ya baadhi ya bodi za shule kuongeza kinyume cha sheria malipo ya karo za shule za mabweni.

Show More

Related Articles