HabariK24 TvSwahiliVideos

Walimu wasema wamejiandaa kikamilifu kwa mfumo mpya wa elimu

Walimu wakuu katika shule za msingi na chekechea wameelezea kuridhika kwao na kuwa tayari kuanzisha mfumo mpya wa elimu mwaka huu kama ilivyoagizwa na wizara ya elimu.
Baadhi ya shule jijini Nairobi tayari zimepokea vitabu kwa wanafunzi na miongozo kwa walimu inayohusu mfumo huo mpya huku walimu nao wakiusifu mfumo huo kuwa wa kuwatayarisha wanafunzi vilivyo kwenye teknolojia ya kisasa na ukuzaji wa vipawa.
Dennis Matara alizungumza na walimu shuleni na kukuandalia hii.

Show More

Related Articles