HabariMilele FmSwahili

Mtaala mpya wa elimu utatekelezwa kama ilivyoratibiwa kuanzia mwaka 2027

Mtaala mpya wa elimu wa 2-6-6-3 utatekelezwa kama ilivyoratibiwa. Waziri wa elimu Dkt Fred Matiangi amepuuza taarifa wizara yake haiko tayari kwa mtaala huo akisema awamu ya pili ya majaribio ya mtaala huo imeng’oa nanga mwezi huu. Akizungumza siku moja baada ya shule kuanza muhula wa 1, Matiangi anasema mikakati imewekwa kufanikisha mtaala anaosema utaweza kutekelezwa kikamlifu kuanzia mwaka 2027.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker