HabariPilipili FmPilipili FM News

Idadi ndogo Ya Wanafunzi Ya Shuhudiwa Katika Shule Za Umma

Marufuku dhidi ya mabasi kusafiri usiku imetajwa kuchangia idadi ndogo ya wanafunzi kuhudhuria kufunguliwa kwa shule muhula huu wa kwanza.

Naibu mwenyekiti wa chama cha walimu KNUT tawi la Kilindini Ahmed Kombo, anasema idadi ya wanafunzi Inayoshuhudiwa katika shule nyingi za umma kaunti ya mombasa iko chini ikilinganishwa na kawaida.

Aidha ameihimiza serikali kusambaza vifaa vya shule kwa walimu ikiwemo vitabu ili kuwezesha utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu katika shule zote nchini

Show More

Related Articles