HabariMilele FmSwahili

Watu wawili wajeruhiwa baada ya basi kupinduka katika barabara ya Kenyatta jijini Nairobi

Watu wawili wamejeruhiwa baada ya basi la abiria kupinduka katika barabara ya Kenyatta hapa jijini Nairobi. Kulingana na shirika la msalaba mwekundu wawili hao wamekiimbizwa kupata matibabu katika hospitali kuu ya Kenyatta. Walioshuhudia ajali hiyo wanasema kuwa basi hilo lilikuwa likiendeshwa kwa kasi kabla ya kugonga gari dogo la kibinafsi.

Show More

Related Articles