HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi wakosa usafiri wa kurudi shuleni huku nauli zikipanda

Msimu wa kurejea shule u hapa nasi tena na ni wakati wa wazazi kuhakikisha watoto wao wamejiandaa kurejea masomoni.
Lakini suala zima la uzinduzi wa mtaala mpya wa elimu 2-6-6-3 linaonekana kuwakanganya wengi haswa walimu na wafanyibiashara wa maduka ya vitabu.
Grace Kuria alizungumza na baadhi ya wazazi, wafanyibiashara na hata walimu na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles