HabariMilele FmSwahili

Watu wanne wafikishwa mahakamani kufuatia mauaji ya mfanyibiashara Julius Kimani huko Nakuru

Watu wanne wamefikishwa katika mahakama ya Nakuru baada ya kuhusishwa na mauaji ya Julius Kimani mfanyibiashara mmoja maarufu mjini Nakuru.
Wanne hao wanawake wawili na wanaume wawili wanadai kutekeeleza mauaji ya Kimani tarehe 1 mwezi Desemba.

Show More

Related Articles