HabariPilipili FmPilipili FM News

Shughli Za Masomo Hazijaanza licha Ya Shule Kufunguliwa

Shughuli za masomo bado hazijaanza katika shule nyingi za umma kutokana na kutowasili kwa vifaa na muongozo unaopaswa kutumika kutekeleza mtaala mpya wa elimu.

Haya ni licha ya waziri wa elimu dakitari Fred Mitiang’i kuahidi kuwa zoezi la kutekelezwa kwa mtaala mpya litaanza pindi tu shule zitakapofunguliwa.

Katika shule ya msingi ya Burhania kaunti ya Mombasa mambo hayakuwa tafauti huku walimu wakisema wangali wanasubiri kuwasili kwa vifaa hivyo kutoka katika wizara ya elimu.

Show More

Related Articles