People Daily

Maafisa Wa Polisi Waanzisha Uchuguzi Dhidi Ya Wakali Wa Kwanza

Idara ya polisi  kusini mwa pwani, imeanzisha uchunguzi  dhidi ya kundi la vijana wahalifu la wakali kwanza wanaoaminika kutoroka  kutoka kaunti ya Mombasa   hadi kaunti ya  kwale  katika eneo la diani, baada ya idara ya usalama  kaunti ya mombasa kuimarisha usalama.

Afisaa  mkuu wa polisi eneo la msambweni  joseph chebusit ,amesema vijan a  hao  katika siku za hivi karibuni wamekuwa wakihangaisha wenyeji wa diani ,hususan nyakati za usiku kwa kuwajeruhi na mapanga

Mkuu huyo wa polisi amesema idara ya usalama eneo hilpo haitawasaza vijana hao kamwe na kutoa onyo kali dhidi yao.

Show More

Related Articles