HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mduka ya sare yafurika wateja, yale ya vitabu yasalia kufungwa

Shule zinatarajiwa kufunguliwa hapo kesho huku hali ya utata ikikumba sekta ya kuuza vitabu.
Hii ni kufuatia changamoto kwa Waziri wa Elimu Dakta Fred Matiangi kukosa kutoa orodha ya vitabu ambavyo maduka za vitabu yanapaswa kuwauzia wanafunzi.
Mwanahabari wetu Lnox Sengre alizuru maeneo tofauti jijini Nairobi ya kuuza vitabu, na taswira ni kweli wengi wa wauza sare za shule ndio waliofungua maduka huku maduka mengi ya vitabu  yakisalia kufungwa.

Show More

Related Articles