HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mihemko ya kisiasa haitarajiwi kukoma, Jubilee na NASA kukabiliana

Msimu wa siasa nzito nzito uliremba mwaka 2017 na kumalizikia na chaguzi kuu mbili za kihistoria nchini.

Mirengo miwili mikuu ikijitapa kuwa bora kuliko wenzake katika hatua iliyopelekea Jubilee kunywika NASA na kufungua ukurasa kwenye ulingo mpya wa kisiasa.

Aidha, wadadisi wa kisiasa wameashiria kwamba kuna mengi yanayowasubiri vinara wakuu watano iwapo wanalenga kuwa na ushawishi ifikapo mwaka 2022.

Show More

Related Articles