HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maelfu ya wasafiri wakwama kufuatia marufuku ya NTSA kote nchini

Hali ya usafiri wa umma imekwama  katika vituo vingi vya usafiri wa umma na kupelekea  maelfu ya wasafiri kutatizika kufuatia kupigwa marufuku  kwa  safari ndefu za usiku na shirika la usalama barararani NTSA .
Wengi wanalalamika kuwa shirika hilo lilichukua uamuzi  bila kuzingatia madhara yake wakati  ambapo wakenya wanarejea makwao baada ya sehere za sikukuu na mwaka mpya.

Show More

Related Articles