HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 2 wafa Sachangwan karibu na Migaa walikoangamia watu 38

Siku moja tu baada ya watu thelathini na nane kupoteza maisha yao katika barabara kuu ya Eldoret kuelekea Nakuru, wawili wengine zaidi waliangamia baada ya kugongwa na trela wakivuka barabaraba hiyo katika eneo la Sachangwan.

Haya yanajiri  huku biwi la simanzi  likitanda  katika chumba cha kuhifadhia maiti cha  hospitali ya Nakuru pale jamaa na marafiki wa waathiriwa wa ajali ya barabara hiyo katika eneo la Migaa wakifika katika hifadhi hiyo kutambua miili ya wapendwa wao.

Show More

Related Articles