HabariK24 TvSwahiliVideos

Watu 4 wakiwemo maaskofu 3 wafa ajalini Mwea

Msimu wa ajali unaendelea kuzua biwi la simanzi nchini baada ya maaskofu watatu wa kanisa la  African Independent Pentecostal Church of Africa (AIPCA) leo waliangamia katika ajali iliyotokea katika barabara ya Mwea  kuelekea Embu usiku wa kuamkia leo.

Show More

Related Articles