HabariMilele FmSwahili

Makasisi 3 waangamia katika ajali huko Mwea

Makasisi watatu wa kanisa la AIPCA huko Igembe kaskazini, kati na kusini wamefariki baada ya kuusika katika ajali ya barabara huko Mwea usiku wa kumkia leo. Watu wengine 2 wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo iliyotokea majira ya saa tatu usiku.

Show More

Related Articles