HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Changamoto bado zinawanyima haki za matibabu na uzazi walemavu

Kila mtu ana haki ya kupokea huduma za matibabu ya uzazi lakini kwa wengi haswa wanawake walemavu kupokea huduma hizi huwa changamoto kubwa  kufuatia  dhana potovu ambazo mara nyingi huambatanishwa na hali yao ya kimaumbile.

Na anavyotuarifu Gloria Milimu  japo kuwa wengi hawana taarifa kuhusu mbinu hizo muhimu za kupanga uzazi na elimu kuhusu  afya ya uzazi  mmoja baina yao ambaye ana taarifa kidogo kuhusu masuala hayo hujitolea kuelimisha wenzake  kuhusu taarifa hiyo ambayo wengi wao hawajapata fursa ya kujuwa.

Show More

Related Articles