HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Chama cha ushirika cha matatu cha Marimba Sacco chapokonywa leseni

Mamlaka ya NTSA imefutilia mbali leseni ya chama cha ushirika cha matatu cha Marimba Sacco Investment na kupewa masharti makali ambayo watahitajika kutekeleza kabla ya kuruhusiwa kuendelea kuhudumu.
Haya yanawadia baada ya familia ya mwanaume ambaye aliuwawa kufuatia mzozo wa gari kugongana katika ajali ya barabarani siku moja baada ya kusherekea krismasi, kutaka haki itendeke.

Show More

Related Articles