HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Timu kuu za soka kukosa ufadhili kutokana na ushuru mzito unaotozwa Kampuni za kamari

Baadhi ya timu kadhaa za kandanda nchini zinahofia kupoteza ufadhili huku asilimia 35 ya ushuru ikihitajika kutozwa kampuni za  mchezo wa kamari na bahati nasibu ikihitajika kuanza siku ya jumatatu Januari mwaka wa elfu mbili kumi na nane.

Hii ni baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kesi ya Pevans East Afrika ambayo inamilikiwa na Sportpesa na Bradley /pambazuka national lottery ikipinga ushuru huo.

Show More

Related Articles