HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Madaktari wa St. Mary’s Lang’ata wahamishwa kwa nguvu

Hali ya mshike mshike bado inaendelea kushuhudiwa katika hospitali ya kimishionari ya St. Mary’s iliyoko Langata baada ya wapiga mnada kutoka kampuni ya Siumer kutoa makataa ya saa mbili kwa wafanyikazi wa hospitali hiyo kuhama.

Aidha  kitengo cha kufanyia upasuaji kinadaiwa kuharibiwa vibaya na madaktari waliokuwa na hamaki kufuatia vurugu lililoshuhudiwa hiyo jana.

Show More

Related Articles