HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ukosefu wa ajira wawachochea vijana kuingilia mihadarati,Kisumu Ndogo

Vijana kutoka eneo la Kisumu Ndogo Kaunti ya TransNzoia wanaendelea kupitia masaibu makuu yanayotokana na ukosefu wa ajira, hali ambayo imepelekea wengi wao kutumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya na uhalifu.

Show More

Related Articles